Press Release PDF Print E-mail

Vyama vya siasa vyatakiwa kutoingilia uhuru wa Bunge 

Kufuatia taarifa za vyombo vya habari juu ya vikao vya juu vya Chama Cha Mapinduzi CCM, vya halmashauri kuu (NEC) na K Kamati Kuu (CC) ambapo spika wa bunge Samweli Sita ambaye pia ni mjumbe wa NEC inasemekana alikemewa na kuonywa namna anavyoendesha vikao vya bunge la jamahuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Taarifa zinasema Spika Sita ambaye pia ani mbunge wa Iramba Mashariki kwa tiketi ya CCM alitakiwa kuendesha bunge katika misingi yenye maslahi kwa chama chake na hata serikali hususani ni katika mijadala yenye maslahi kwa wananchi na katika suala zima la ufisadi Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kimetoa tamko juu ya hatua hiyo ambapo kimsingi tatizo ni mfumo wa sheria unaombana spika kulazimika kutumikia matakwa ya chama anachotoka. Bonyeza hapa kupata tamko zima ambalo limeambatanishwa.

 
LHRC © 2007  |  About this Site  |  Sitemap  |  Contact
School Joomla Templates and Joomla Tutorials