LHRC HQ: Justice Lugakingira House
+255 22 2773038 / +255 22 2773048

Muhtasari wa Ripoti ya Haki za Binadamu 2017

  • Muhtasari wa Ripoti ya Haki za Binadamu 2017

MUHTASARI WA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU 2017


Organization Report

Report attachment

Download

Kwa mwaka 2017, ukiukwaji wa haki za binadamu uliongezeka ukilinganisha na mwaka 2016. Haki za kiraia na kisiasa zilivunjwa zaidi, hasa haki ya kuishi, haki dhidi ya ukatili, haki ya kuwa huru na usalama wa mtu, uhuru wa kujieleza, uhuru wa kukusanyika na uhuru wa kujumuika. Kuminywa kwa haki hizi pia kuliathiri haki ya kushiriki katika utawala/serikali, hususan haki ndogo ya kushiriki katika masuala ya siasa. 

Kwa undani wa matukio haya soma Muhtasari wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2017 kama ilivyoambatanishwa.