Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, kimeshiriki na kuwasilisha mapendekezo juu ya hali ya haki za binadamu na utawala bora nchin
On Wednesday 23rd of January, the Embassy of Sweden signed a cooperation agreement with Legal and Human Rights Centre (LHRC) cover
In a cause to support civic space in Tanzania, Legal and Human Rights Centre organised a discussion with editors in Tanzania to po
In our cause to promote civic space and democracy in Tanzania, we (LHRC) condemn suspension of “The Citizen” newspaper
Machi 6, 2019 Dar es Salaam Mwanaharakati mashuhuri na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
Unleash your inner purpose to help the helpless, marginalized and oppressed. Your contribution will help our course in provision of legal aid and promotion of human rights.
Help us curb human rights violations such as the murderous attack against people with albinism and elders.
Your donation will help us empower the general public with civic education on cross cutting issues counting gender issues and democracy to realize the changes we aspire.
Help us safeguard human rights all together.
Huenda huna muda wa kutosha wala kipato cha kutosha kulinda utu na haki za wengine, ingawa unawiwa kufanya hivyo.
Ni jukumu letu sote kujitoa kwa kidogo tulichojaaliwa ili kupaka rangi ya furaha katika nyuso za wengine, wewe, yule na sisi tukikusanya nguvu tunaweza kutetea na kulinda haki za wanaoonewa kwa kushindwa kuzifikia huduma za haki.
Jitolee sasa kidogo ulichonacho kusaidia ulinzi na utetezi wa haki na utu wa binadamu.